• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Jinsi ya kujiunga na CHF iliyoboreshwa

Kujiunga na Bima ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF Iliyoboreshwa)

KUJIUNGA NA HUDUMA YA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF ILIYOBORESHWA)

Hatua Muhimu za Kuzingatia ili Kujiunga Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF Iliyoboreshwa):

  • Mkuu wa kaya fika na familia yako katika sehemu iliyoandaliwa kwa ajili ya uandikishaji wa wanachama.
  • Lipia gharama ya kujiunga na CHF iliyoboreshwa, hakikisha unapatiwa stakabadhi ya malipo ya mchango wa CHF.
  • Fuata maelekezo mengine utakayopewa na Afisa Uandikishaji.

Hakikisha kila mwanakaya amepatiwa kitambulisho cha uanachama.

Kumbuka:

  • Kitambulisho chako kitaanza kutumika baada ya mwezi mmoja tangu kuandikishwa.
  • Kumbuka kwenda na kitambulisho chako pindi unapokwenda kwenye kituo cha kutolea huduma (Zahanati, Kituo cha Afya au Hospitali ya Wilaya/Mkoa).
  •  Kumbuka kuhuisha/kufufua uanachama wako miezi miwili kabla ya kuisha muda wa uanachama.
  • Uanachama huhuishwa kila mwaka (mara moja kwa mwaka) kwa kulipia gharama ya uanachama.

Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF Iliyoboreshwa) ni Nini?

Ni mpango muhimu wa hiari ulioanzishwa kwa Sheria Na. 1 ya mwaka 2001 (Sura ya 409 ya Sheria za Tanzania Toleo la 2002) wa kaya, kikundi au familia au mtu binafsi kuchangia gharama za matibabu kabla ya kuugua.

Wanachama wanapopata huduma bora ya afya kwa kipindi cha mwaka mzima.

Kaya/Familia ni Nini kwa Mujibu wa CHF Iliyoboreshwa?

Baba, mama n watoto/wategemezi ambao jumla yao ni watu sita (6).

Kundi la watu sita (6) katika taasisi kama vile shule (wanafunzi), Ushirika (wanaushirika), ama Vikundi vya ujasiria mali (SACCOS, VICOBA, n.k).

Mtu binafsi.

Faida za Mfuko wa Afya ya Jamii:

Mwanachama atanufaika na huduma zote za afya ya msingi za kinga na tiba zitolewazo katika zahanati, kituo cha afya na hospitali ya wilaya, kama vile;

Huduma ya wagonjwa wa kutwa na kulazwa kwa mujibu wa mwongozo wa Wizara ya Afya.

 Afya ya mama na mtoto.

Vipimo vya maabara.

Huduma ya upasuaji mdogo.

Mwanachama anapata huduma bora za afya kwa gharama nafuu.

Mwanachama anapata huduma bora ya afya kwa kipindi cha mwaka mzima.

Serikali inachangia kiasi sawa na kile kilichochangwa na wanachama tele kwa tele) katika wilaya husika ili kuboresha huduma za afya.

Ushiriki wa Mwanachama Katika Kuboresha Utoaji wa Huduma za Afya:

Mwanachama atashiriki katika kuboresha huduma za Afya kupitia mwakilishi wa jamii katika bodi ya Afya ya Wilaya na kamati za uendeshaji na usimamizi wa Kituo cha Afya na Zahanati.

Mwanachama atawasilisha mawazo/kero zake kwenye serikali ya kijiji, na kupelekwa kwenye kamati ya CHF ya kata na hatimaye kwenye bodi ya CHF ya wilaya ambayo itayajadili na kuyatolea maamuzi.

Pia, mwanachama ataweza kutoa maoni yake kuhusu maboresho ya CHF na huduma za Afya kupitia mkutano wa mwaka wa kijiji wa wanachama wa CHF.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Ofisi ya Kijiji/Mtaa iliyokaribu nawe.

Matangazo

  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2020 December 06, 2019
  • JOINING INSTRUCTION ZA SHULE ZA SEKONDARI IKUNGI December 18, 2020
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili nafasi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la III May 04, 2018
  • Tangazo la Ujenzi wa vibanda vya kisasa vya biashara Halmashauri ya Ikungi eneo la Ighuka - Mnadani May 12, 2018
  • View All

Habari mpya

  • Halmashauri ndizo zenye jukumu la kupanga, kupima na kumilikisha ardhi- LUKUVI

    January 12, 2021
  • Mradi wa AWARE kutokomeza matukio ya kikatili Ikungi

    August 17, 2020
  • Mradi wa "aware" kutokomeza matukio ya kikatili Ikungi

    August 17, 2020
  • Mradi wa "aware" kutokomeza matukio ya kikatili Ikungi

    August 17, 2020
  • View All

Video

Mheshiwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Ndugu John Mongella akitoa tamko la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Kitaifa
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Sitemap
    • Huduma

Hhakimiliki Halmashauri ya wilaya ya Ikungi