• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha
  • Takwimu za Wilaya
    • Sensa 2022
      • Matokeo ngazi ya Taifa na Mkoa
      • Matokeo ngazi ya wilaya na kata
      • Matokeo ngazi ya vijiji
      • Kasi ya ongezeko la watu
      • Idadi ya kaya
      • Idadi ya watu kwa umri
      • Matokeo ngazi ya tarafa
    • Takwimu za Elimu
      • Orodha ya Shule kwa kata
      • Idadi ya wanafunzi
        • Msingi
        • Sekondari
    • Nyanja ya Afya
      • Idadi ya vituo vya afya kwa kata
      • Afya nyinginezo
    • Ikungi yetu
    • Takwimu za miradi

Historia

Historia fupi ya Halmashauri Wilaya Ikungi.

 Tarehe 02, Machi, 2012 Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia GN Na. 73 alitangaza kuundwa kwa Wilaya ya Ikungi na tarehe 03 Mei, 2013 Mhe. Mizengo Kayanza Pinda Waziri Mkuu kupitia GN. Na. 96 alitangaza kuanzishwa Rasmi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi imetokana na Halmashauri ya Wilaya ya Singida. Halmashauri ilianza rasmi kutekeleza majukumu yake mnamo tarehe 01/07/2013.Na ilianza kulipa watumishi wake mishahara kupitia kasma 84R5  tarehe 30/4/2014 kabla ya hapo watumishi walikuwa wanalipiwa kwenye kasma 84r1 ambayo ni Halmashauri ya Wilaya ya Singida.

Maelezo mafupi kuhusu Halmashauri ya Wilaya Ikungi

Halmashauri ya Wilaya Ikungi ni miongoni mwa Halmashauri 6 za Mkoa wa Singida. Halmashauri hii ipo kati ya nyuzi 40 na 60 Latitudo kusini mwa Ikweta, nyuzi 340 na 350 Longitudo Mashariki mwa Greenwichi. Hupata mvua ya wastani wa mm 600-700 kwa mwaka na joto kati ya 15oC-30oC.

Inapakana na Mkoa wa Tabora (Wilaya ya Uyui)  upande wa Magharibi, Manispaa ya Singida upande wa Kaskazini, Wilaya ya Singida upande wa Kaskazini-Mashariki, Wilaya ya Iramba upande wa Kaskazini-Magharibi, Mkoa wa Dodoma (Wilaya Chemba) upande wa Kusini Mashariki na Wilaya ya Manyoni upande wa Kusini.

 

1.1  Utawala

Halmashauri ina eneo la kilomita za mraba 8,860 Km2  ikiwa  imegawanyika katika majimbo 2 ya Uchaguzi, Jimbo la Singida Magharibi na Jimbo la Singida Mashariki. Aidha Wilaya ina Tarafa 4, Kata 28, Vijiji 101, Vitongoji 545 na Kaya 53,367. 

    Jedwali 1:  Idadi ya Tarafa, Kata, Vijiji na Vitongoji

S/N

TARAFA

IDADI YA KATA

IDADI YA VIJIJI

IDADI YA VITONGOJI

1

MUNGAA

8

26

137

2

IKUNGI

6

26

149

3

IHANJA

7

24

147

4

SEPUKA

7

25

112

Jumla

28

101

545

1.2       Idadi ya watu

Halmashauri ina wakazi wapatao 272,959 (Sensa 2012) kati ya hao wanaume ni 136,178 sawa na asilimia 49.9% na wanawake ni 136,781 sawa na asilimia 50.1%.  Wastani waongezeko la watu  ni asilimia 2.4 kwa mwaka, wastani wa idadi ya watu ni kati ya 5 hadi 6 kwa kaya. Kwa mwaka 2017 idadi ya watu inakisiwa (Projection) kuwa ni 309,030 wanaume  154,174 (49.8%) na wanawake 154,8578 (50.2%).

1.3       Shughuli za kiuchumi.

Asilimia 85 ya Wakazi wa Ikungi wanategemea Kilimo na ufugaji kama shughuli kuu ya kiuchumi na pato lao kwa mwaka  ni Tshs 720,000/=kwa mtu mmoja. 

Mazao ya chakula yanayo limwa ni Mtama, Uwele, Mahindi, Mpunga, Ulezi, Viazi vitamu, Muhogo na Karanga na ya biashara ni Alizeti, Pamba na Ufuta.

Kwa upande wa ufugaji wakazi wa Ikungi wanafuga Ng,ombe, Mbuzi, Kondoo, Punda, Nguruwe na Kuku.

Matangazo

  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPT 06, 2023 August 31, 2023
  • View All

Habari mpya

  • Mafunzo ya BVR Awamu ya Pili yazinduliwa

    May 14, 2025
  • Msigala Aagiza kutungwa kwa Sheria Ndogo Kudhibiti chumvi

    May 09, 2025
  • Ikungi Kinara wa Miradi Bora

    May 08, 2025
  • Elimu ya Kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yahitajika Ikungi

    April 17, 2025
  • View All

Video

DC Muro atembelea Kata ya Mkiwa na kukagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Mkiwa. Kazi inaendelea...
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa