• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Utumishi na Utawala

     

  • Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi ina jumla ya Idara (13) na Vitengo sita (6). Kuna Tarafa nne (4), Kata ishirini na nane (28), Vijiji mia moja na moja (101)  

  • Idara ya Utumishi  ndio Idara MAMA katika Halmashauri kwani Masuala yote ya Kiutumishi yanafanyika katika Idara hii

  • Kimsingi Idara ya Utumishi na Utawala katika kutekeleza majumu yake inazingatia misingi ya Utawala BORA katika kutoa huduma bora kwa Watumishi na Jamii kwa ujumla.

Majukumu ya Idara:-

  • Kuandaa bajeti ya mishahara na ikama ya watumishi.

  • Kutafsiri na kushughulikia miundo ya Utumishi.

  • Kuajiri kwa kuomba vibali vya ajira Utumishi Makao Makuu.

  • Kupandisha vyeo na kuthibitisha watumishi kazini.

  • Kusimamia na kushughulikia maadili na nidhamu za watumishi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Miongozo iliyopo.

  • Kusimamia na kuhakikisha vikao na mikutano yote ya kisheri na kikanuni Katika ngazi zote inafanyika.

  • Kuandaa na kusimamia mpango wa mafunzo kwa watumishi wakiwa nje na ndani ya vituo vya kazi.

  • Kushughulikia mafunzo ya kuwajengea uwezo Watumishi, Waheshimiwa Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa.

  • Kutathimini utendaji kazi wa watumishi.

  • Kushughulikia mambo ya itifaki kwa watumishi.

  • Kufanya ukaguzi wa Payroll ya mishahara kwa kwa kushirikiana na wakuu wa Idara kila mwezi na kutolea taarifa iwapo kutakuwa na mapungufu au usahihi wa payroll husika.

  • Kuhakikisha watumishi wote ambao muda wao umefikia ukomo kwa sababu mbali mbali wanaondolewa katika payroll kupitia Mfumo wa LAWSON.

  • Kuandaa Tange kwa kila robo ya mwaka na mwaka mzima.

  • Kutafsiri sheria, kanuni na nyaraka mbali mbali za Serikali katika utumishi wa umma.

  • Kutekeleza miongozo na mazoezi ya kitaifa yanayo tolewa.

  • Kusimamia ulinzi na usalama wa mali zote za Halmashauri.

  • Kushughulikia haki na stahiki za watumishi .

  • Kusimamia Mifumo ya usafiri wa magari ya Halmashauri.

  • Kushirikiana na Taasisi zingine katika masuala mbalimbali ya kiutendaji 


Matangazo

  • MPYA!MPYA! Kuitwa kwenye usaili wa kazi ya Sensa na watu na Makazi July 17, 2022
  • TAARIFA MUHIMU KUTOKA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU (NBS) KUHUSU MAANDALIZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 July 29, 2022
  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA WATANZANIA WOTE WENYE SIFA ZA KUOMBA KAZI May 25, 2022
  • View All

Habari mpya

  • KAMATI YA FEDHA NA MAENDELEO YAKAGUA MIRADI YA SWASH ZAHANATI 3 WILAYA YA IKUNGI.

    January 23, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA IKUNGI YATENGA MILIONI 187 KWA AJILI YA KUKOPESHA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.

    January 24, 2023
  • MAFUNZO YA kemikali ya sumu yatolewa na SHANTA.

    January 24, 2023
  • IKUNGI YAPOKEA VISHIKWAMBI 1,496 KWA AJILI YA WALIMU NA MAAFISA ELIMU.

    January 23, 2023
  • View All

Video

DC Muro atembelea Kata ya Mkiwa na kukagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Mkiwa. Kazi inaendelea...
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa