Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi anayo furaha kuwakaribisha watumishi wapya katika Halmashauri ya Ikungi. Aidha anaipongeza Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi watumishi wapya 202. Hongera Mama.
"Kazi iendelee"
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa