Timu ya CMT wakiwa katika mgodi wa shanta mine ,Aidha kaimu meneja wa mgodi huo ,Ndugu Kundael Ntiro alifafanua kuwa Mgodi una sehemu tatu za machimbo ambazo ni Vivian,Jem na Goldtree.naye Mkurugenzi Mtendaji Ndg Justice Kijazi alisisitiza kuwa Halmashauri inategemea kupata mapatto kwenye Mgodi huo
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa