• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha
  • Takwimu za Wilaya
    • Sensa 2022
      • Matokeo ngazi ya Taifa na Mkoa
      • Matokeo ngazi ya wilaya na kata
      • Matokeo ngazi ya vijiji
      • Kasi ya ongezeko la watu
      • Idadi ya kaya
      • Idadi ya watu kwa umri
      • Matokeo ngazi ya tarafa
    • Takwimu za Elimu
      • Orodha ya Shule kwa kata
      • Idadi ya wanafunzi
        • Msingi
        • Sekondari
    • Nyanja ya Afya
      • Idadi ya vituo vya afya kwa kata
      • Afya nyinginezo
    • Ikungi yetu
    • Takwimu za miradi

DC Mpogolo Aanza ziara ya kikazi Kata kwa Kata

Posted on: September 7th, 2019















Kwa hisani ya  Bazili Mjungu






















MKUU wa Wilaya ya Ikungi, Mhe Edward Mpogolo amefanya ziara yake ya kwanza ndani ya Wilaya hiyo toka ateuliwa na Mhe. Rais Dkt John Pombe Magufuli akichukua nafasi ya Mhe. Miraji Mtaturu ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki.








DC Mpogolo amefanya ziara katika Kata nne za Iyumbu, Mgungira, Ighombwe na Mtunduru ambapo alitembelea miradi ya Maendeleo, kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi pamoja na kueleza mambo makubwa ambayo yamefanywa na Serikali ya awamu ya tank chini ya Mhe. Rais Dkt John Pombe Magufuli tangu apate ridhaa ya Wananchi kuiongoza Nchi kupitia CCM Mwaka 2015.



Mhe. Mpogolo miongoni mwa kero ambazo amekutana nazo na kuzitolea ufafanuzi ni pamoja. Na  ya maji, miundombinu ya barabara, uhaba wa vyumba vya madarasa, vituo vya afya, umeme na mawasiliano ambapo pia amewaeleza wananchi hatua ambazo Serikali imezichukua katika kuzitatua.




"Ndugu zangu Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk John Magufuli kwa kutambua mnakabiliwa na changamoto kwenye sekta ya afya tayari ameshatoa kiasi cha Shilingi Milioni 500 ambazo zitajenga kituo cha afya cha Iyumbu kitakachokua na uwezo wa kuhudumia kata zaidi ya tatu Suala la Maji katika kata ya Mtunduru linaenda kuwa historia kwa maana ndani ya miezi miwili kutoka sasa kisima cha maji kitakamilika na kimegharimu zaidi ya Milioni 438, lakini kata ya Ighombe mkandarasi yupo site na ameshafikia kina cha maji kilichobaki ni kutengeneza Tanki LA kuhifadhia maji"amesema DC Mpogolo.


Kuhusu elimu amewasifu wananchi wa kata zote nne alizotembelea kwa namna ambavyo wamekua wakijitoa kuchangia miradi ya maendeleo hasa katika ujenzi wa vyumba vya madarasa ambapo amewaagiza wahandisi wa Wilaya kuhakikisha wanatoa ushauri katika miradi inayojengwa na wananchi ili kuifanya iwe na thamani halisi.


Amewatoa hofu wananchi katani humo kuhusu changamoto ya umeme na kueleza kuwa Kata zote nne zipo katika mpango wa mradi wa umeme wa REA na kwamba ndani ya kipindi kifupi huduma  ya umeme utakua umewafikia.



"Ndugu zangu wana Ikungi suala la umeme katika kata hizi nne umekua ni changamoto. Nimelala hapa nimejionea. Niwahakikishie nimelichukua na kwa kushirikiana na wabunge wenu tutapambana kuuleta umeme ili kuongeza uzalishaji wa huduma za kijamii na kimaendeleo"


"Nafahamu pia mna tatizo la mawasiliano, na mimi nimejionea kwa sababu nimefika hapa. Tayari Serikali ishatuma wataalamu wa minara na ninaamini hadi kufikia mwishoni mwa mwaka tutakua tumepata mawasiliano ambayo yataongeza ukuaji wa uchumi kwenye hizi kata zetu"amesema DC Mpogolo.


Katika ziara hiyo DC Mpogolo aliambatana na watalaamu mbalimbali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi ambapo pia aliweka kambi kwa kulala kwenye kila kata ambayo alifanya ziara lengo likiwa kujitambulisha na kusikiliza kero za wananchi walioshiriki kikamilifu katika uchaguzi wa kumchagua Mhe. Rais Dkt John Pombe Magufuli.













Matangazo

  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPT 06, 2023 August 31, 2023
  • View All

Habari mpya

  • Wachimbaji Wadogo Watakiwa Kuijua Sheria ya Madini na Kanuni Zake

    June 22, 2025
  • Wajasiriamali Kupata Mikopo Ikungi

    June 20, 2025
  • Watendaji wa Vijiji Wanaoshindwa Kutimiza Wajibu Wao Waonywa

    June 18, 2025
  • Hoja 19 Kufungwa Ifikapo Tarehe 19 Juni Mwaka Huu

    June 17, 2025
  • View All

Video

DC Muro atembelea Kata ya Mkiwa na kukagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Mkiwa. Kazi inaendelea...
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa