• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha
  • Takwimu za Wilaya
    • Sensa 2022
      • Matokeo ngazi ya Taifa na Mkoa
      • Matokeo ngazi ya wilaya na kata
      • Matokeo ngazi ya vijiji
      • Kasi ya ongezeko la watu
      • Idadi ya kaya
      • Idadi ya watu kwa umri
      • Matokeo ngazi ya tarafa
    • Takwimu za Elimu
      • Orodha ya Shule kwa kata
      • Idadi ya wanafunzi
        • Msingi
        • Sekondari
    • Nyanja ya Afya
      • Idadi ya vituo vya afya kwa kata
      • Afya nyinginezo
    • Ikungi yetu
    • Takwimu za miradi

Godfrey Mnzava,amevitaka vyombo vya Watumia maji (CBWSO) kutoa huduma ya maji kwa wananchi wote bila upendeleo

Posted on: July 7th, 2024

KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2024,Godfrey Mnzava,amevitaka vyombo vya Watumia maji (CBWSO) kutoa huduma ya maji kwa wananchi wote bila upendeleo na kuendelea kutunza miundombinu ya mradi ili iendelee kutoa huduma ya maji kwa muda mrefu.

Ametoa agizo hilo leo (Julai 7,2024) baada ya mwenge huo kutembelea mradi wa maji uliopo katika kijiji cha Matare Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi mkoani SingidaAmesema serikali imekuwa ikitumia fedha nyingi sana kwa ajili ya kujenga miradi ya maji ili kuwawezesha wananchi kuondokana na kero ya ukosefu wa maji hivyo njia pekee ya kuifanya miradi hiyo iwe endelevu ni kutunza vyanzo vya maji.Aidha,Kiongozi huyo wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa ameendelea kusisitiza kuitaka Wakala wa Usambazaji Maji na Safi wa Mazingira Vijiji (RUWASA) kuziwezesha kimafunzo Jumuiya za Watumia Maji.

Naye Meneja wa RUWASA Wilaya ya Ikungi, Shafii Shabani, amesema  ujenzi wa mradi huo wa maji ulianza Jajuari 19, 2022 na umekamilika April 30, 2023.Amesema chanzo cha maji cha mradi huo ni Kisima kirefu kilichochimbwa katika kijiji cha Matare na chenye kina cha 160m kikiwa na uwezo wa kuzalisha maji lita 5,600 kwa saa na tabgu la kuhifadhia maji linahifadhi lita 75,000. Shabani amesema mradi huo hadi kukamilika kwake umegharimu 332,736,915.50, ambazo kati ya hizo Sh.327,521,815.50 zimetolewa na Benki ya Dunia kupitia program ya P4Rna Sh. 5,215,100 zimetolewa na  chombo cha watumia maji (CBWSO).Meneja huyo ameongeza kuwa faida zamradi huo ni kuwawezesha wananchi wa kijiji cha Matare kupata huduma ya maji safi na salama na ya kutosha kwa matumizi ya kawaida na ya kiuchumi,kupunguza maambukizi ya magonjwa yatokanayo na ukosefu wa maji safi na salama na kuwapatia wananchi muda wa kutosha kufanya shughuli za kiuchumi. Shabani amesema mradi huu ulisanifiwa kuwahudumia wakazi 5,036 wa kijiji cha Matare lakini kwa sasa mradi unahudumia wakazi 3,083

Matangazo

  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPT 06, 2023 August 31, 2023
  • View All

Habari mpya

  • Elimu ya Kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yahitajika Ikungi

    April 17, 2025
  • Kamati ya Siasa Yapongeza Ujenzi wa Miradi Ikungi

    April 09, 2025
  • "Wanaume Hudumieni Wake Zenu" DC Apson Ikungi

    March 04, 2025
  • NEST yarahisisha manunuzi

    March 04, 2025
  • View All

Video

DC Muro atembelea Kata ya Mkiwa na kukagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Mkiwa. Kazi inaendelea...
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa