• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha
  • Takwimu za Wilaya
    • Sensa 2022
      • Matokeo ngazi ya Taifa na Mkoa
      • Matokeo ngazi ya wilaya na kata
      • Matokeo ngazi ya vijiji
      • Kasi ya ongezeko la watu
      • Idadi ya kaya
      • Idadi ya watu kwa umri
      • Matokeo ngazi ya tarafa
    • Takwimu za Elimu
      • Orodha ya Shule kwa kata
      • Idadi ya wanafunzi
        • Msingi
        • Sekondari
    • Nyanja ya Afya
      • Idadi ya vituo vya afya kwa kata
      • Afya nyinginezo
    • Ikungi yetu
    • Takwimu za miradi

imu ya Menejimenti ya CMT Yakagua Miradi ya Afya, Elimu na Biashara Ikungi

Posted on: February 2nd, 2026

Timu ya Menejimenti ya CMT ya Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Kastori Msigala, imefanya ziara leo tarehe 02 Februari 2026 kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutoa maagizo ya kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kwa ubora.

Katika ziara hiyo, timu ilitembelea ujenzi wa vyumba 21 vya biashara Manispaa ya Singida vyenye thamani ya shilingi milioni 285, viwanja mbalimbali vya Halmashauri vinavyotarajiwa kuendelezwa mapema kadri bajeti itakavyotengwa lengo ni kutengeneza vyanzo vipya vya mapato kuleta maendeleo wilayani Ikungi

Katika hatua nyingine timu hiyo imetembelea nakagua maabara mbili katika Shule ya Sekondari Kintandaa zinazogharimu shilingi milioni 544.2, ambapo alisisitiza kukamilishwa haraka ili wanafunzi waanze kuzitumia.

Aidha, timu ilikagua Zahanati ya Ighombwe na kubaini matumizi mazuri ya mifumo ya GoTHOMIS na GePG, sambamba na kutoa maelekezo ya ukarabati wa zahanati hiyo na kukamilisha boma lililojengwa kwa nguvu za wananchi.


Katika Shule ya Sekondari Ighombwe, Mkurugenzi Mtendaji alikagua ujenzi wa maabara ya Fizikia na Baiolojia unaogharimu shilingi milioni 60 pamoja na ukamilishaji wa bweni la wanafunzi lililojengwa kwa nguvu za wananchi.

Mwisho wa ziara, timu ilitembelea Zahanati ya Makhotea pamoja na ujenzi wa madarasa na vyoo Shule ya Msingi Makhotea unaogharimu shilingi milioni 123.2 kutoka BOOST na madarasa mawili ya shilingi milioni 46, ambapo miradi ipo hatua ya uezekaji.

Matangazo

  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPT 06, 2023 August 31, 2023
  • View All

Habari mpya

  • Dkt. Grace Ntogwisangu Awataka Watoa Huduma Zaidi Kutumia Teknolojia Kuboresha Chanjo

    February 04, 2026
  • Mhe. Thomas Apson Awapongeza Wadau Kwa Kuunga Mkono Shule ya Watoto Wenye Mahitaji Maalum

    February 03, 2026
  • Upandaji Miti na Msaada kwa Wagonjwa Vikundi Maalum Vifanyika Ikungi Kwa Ushirikiano na UWT

    February 03, 2026
  • imu ya Menejimenti ya CMT Yakagua Miradi ya Afya, Elimu na Biashara Ikungi

    February 02, 2026
  • View All

Video

DC Muro atembelea Kata ya Mkiwa na kukagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Mkiwa. Kazi inaendelea...
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa