• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha
  • Takwimu za Wilaya
    • Sensa 2022
      • Matokeo ngazi ya Taifa na Mkoa
      • Matokeo ngazi ya wilaya na kata
      • Matokeo ngazi ya vijiji
      • Kasi ya ongezeko la watu
      • Idadi ya kaya
      • Idadi ya watu kwa umri
      • Matokeo ngazi ya tarafa
    • Takwimu za Elimu
      • Orodha ya Shule kwa kata
      • Idadi ya wanafunzi
        • Msingi
        • Sekondari
    • Nyanja ya Afya
      • Idadi ya vituo vya afya kwa kata
      • Afya nyinginezo
    • Ikungi yetu
    • Takwimu za miradi

Jumuiya ya Maridhiano Yateta Jambo.

Posted on: December 28th, 2022

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ikungi Mhe Mika Likapakapa Akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Singinda Mhe Peter Serukamba Awataka viongozi wa Dini kuhubiri Amani,kwa maendeleo endelevu dhidi ya umasikini ujinga na maradhi hasa katika kipindi hiki cha sikuu kuu za Chrismas na Mwaka mpya.


Akizungumza hii leo tarehe 28 Desemba 2022 na Jumuia ya maridhiano mkoa wa Singida  Katika kongamano la viongozi wa dini Wilaya ya Ikungi ambalo kwa mara ya kwanza limefanyika mkoa wa Singida wilaya ya Ikungi katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Likapakapa amesema kuwa lengo kuu la jumuiya hiyo ni kuleta amani kwa maendeleo endelevu dhidi ya ujinga na maradhi na umasikini.

"Tumeona na tumeunga mkono Serikali ya awamu ya sita ya Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania."


Kwa upande wake Mbunge wa Ikungi Mashariki Mhe Miraji Mtaturu ameongeza na kusema kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya Amani na Maendeleo hivyo viongozi wadini hawana budi kushirikiana kwa karibu na viongozi wa serikali ili kuleta amani na maendeleo ya Ikungi.


Mhe Ally Juma Mwanga ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ndg Richard Rwehumbiza Wamesema kuwa serikali inatoa fedha nyingi za miradi na watahakikisha usimamizi wa  miradi hiyo unakuwa mkubwa ili kutokuvunja amani katika wilaya hii.


Aidha kwa upande wake Mkuu wa polisi wilaya ya Ikungi Bi Suzana A.Kidiku pamoja na Mkuu wa Takukuru Wilaya ya Ikungi Bwn Erick Nyoni wamesisitiza kuepukana na rushwa pamoja na ukatili wa kijinsia kwani ndio adui mkubwa wa Maendeleo.


Pia Ambwene Stephen Makamu Mwenyekiti wa SMAUJATA Mkoa wa Singida katika kampeni yao ya kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto na Manawamke amewaomba wananchi kutoa taarifa mapema dhidi ya vitendo vya ukatili ili kuepusha migogoro katika jamii zetu.

Matangazo

  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPT 06, 2023 August 31, 2023
  • View All

Habari mpya

  • Elimu ya Kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yahitajika Ikungi

    April 17, 2025
  • Kamati ya Siasa Yapongeza Ujenzi wa Miradi Ikungi

    April 09, 2025
  • "Wanaume Hudumieni Wake Zenu" DC Apson Ikungi

    March 04, 2025
  • NEST yarahisisha manunuzi

    March 04, 2025
  • View All

Video

DC Muro atembelea Kata ya Mkiwa na kukagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Mkiwa. Kazi inaendelea...
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa