Mkuu wa wilaya ya Ikungi Ndugu Jerry C.Muro pamoja na wajumbe wa kamati ya usalama wameendelea na zoezi la uhamasishaji ,utoaji wa elimu na ukaguzi wa wa operationi ya uandikishaji wa anuani za makazi na post code katika tarafa ya ikungi kata ya Isuna kijiji cha nkuhi
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa