Katibu tawala msaidizi Elimu Mkoa wa Singida Bi Maria Lyimo amewaagiza walimu watumie vyema vishikwambi walivyogawiwa kuongeza ufaulu kati shule za sekondani na shule za msingi wilaya ya Ikungi...
Akizungunza katika Mafunzo ya MEWAKA na wakuu wa shule,walimu wakuu na afisaelimu kata wote katika ukumbi wa Ikunngi sekondari tarehe 07 Februari 2023 amesema mafunzo haya yanamsaidia mwalimu kutumia vizuri kishikwambi katika ufundishaji na ujifunzaji kukuza ufaulu wilayani hapa...
mafunzo yaliendeshwa Jana Kwa kutumia vishikwambi vilivyotolewa Kwa walimu na mada zihusuzo ujifunzaji na ufundishaji wa masomo kuanzia elimu awali,msingi na sekondari...
Kwa upande wake Afisa Elimu Sekondani Ndg Ngwano Ngwano ameongeza na kusema kuwa mafunzo hayo ni endevu na watapata walimu wote na sio kwa wakuu wa shule pekee na walimu wakuu.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa