• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha
  • Takwimu za Wilaya
    • Sensa 2022
      • Matokeo ngazi ya Taifa na Mkoa
      • Matokeo ngazi ya wilaya na kata
      • Matokeo ngazi ya vijiji
      • Kasi ya ongezeko la watu
      • Idadi ya kaya
      • Idadi ya watu kwa umri
      • Matokeo ngazi ya tarafa
    • Takwimu za Elimu
      • Orodha ya Shule kwa kata
      • Idadi ya wanafunzi
        • Msingi
        • Sekondari
    • Nyanja ya Afya
      • Idadi ya vituo vya afya kwa kata
      • Afya nyinginezo
    • Ikungi yetu
    • Takwimu za miradi

Mbegu za Asili Zaiamshwa Ikungi Kupitia Maonesho ya Kitaifa

Posted on: January 30th, 2026

Leo tarehe 29.01.2025, Wilaya ya Ikungi imekuwa kitovu cha urithi wa taifa letu, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi kwa ushirikiano wa karibu na wadau wa maendeleo PELUM Tanzania, wameandaa na kufanikisha Maonesho ya Mbegu za Asili.

Maonesho haya yamepata hadhi ya kipekee kwa kuhudhuriwa na safu ya Waheshimiwa Madiwani, Watendaji wa Kata, pamoja na wakulima mahiri waliotoka maeneo mbalimbali ikiwemo Dodoma, Babati, Mwanga, Iramba, na wenyeji wao Ikungi.

Lengo kuu la maonesho haya limekuwa ni kuiamsha jamii na kuikumbusha juu ya umuhimu wa kutunza mbegu za asili. Kupitia ushirikiano huu, mkazo mkubwa umewekwa katika kuanzisha na kuimarisha Benki za Mbegu za Jamii (Community Seed Banks) zinazohakikisha mkulima anakuwa na mamlaka kamili juu ya kile anachopanda, bila kutegemea mbegu za kununua kila msimu.

Aidha, katika maonesho hayo, faida lukuki za mbegu hizi zimeelezwa kwa kina ikiwa ni pamoja na ustahimilivu wa ukame na mabadiliko ya tabianchi bila kutetereka.

Maonesho haya ya mbegu za asili yamekuwa ni daraja la kuunganisha mikoa na wilaya jirani katika harakati moja ya kuikomboa meza ya chakula ya Mtanzania na nimwanzo mpya wa safari ya kuelekea kwenye usalama wa chakula unaotokana na mbegu za asili

Matangazo

  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPT 06, 2023 August 31, 2023
  • View All

Habari mpya

  • Dkt. Grace Ntogwisangu Awataka Watoa Huduma Zaidi Kutumia Teknolojia Kuboresha Chanjo

    February 04, 2026
  • Mhe. Thomas Apson Awapongeza Wadau Kwa Kuunga Mkono Shule ya Watoto Wenye Mahitaji Maalum

    February 03, 2026
  • Upandaji Miti na Msaada kwa Wagonjwa Vikundi Maalum Vifanyika Ikungi Kwa Ushirikiano na UWT

    February 03, 2026
  • imu ya Menejimenti ya CMT Yakagua Miradi ya Afya, Elimu na Biashara Ikungi

    February 02, 2026
  • View All

Video

DC Muro atembelea Kata ya Mkiwa na kukagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Mkiwa. Kazi inaendelea...
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa