Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Jerry akitembelea miradi ya maendeleo katika Shule ya Sekondari ya Issuna. Wanaoonekana pichani kwa mbele katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ndg. Justice Kijazi akiwa katika mstari wa mbele kuhakikisha miradi inakamimila kwa wakati. Kulia ni Mheshimiwa Jerry Muro na kushoto ni Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Issuna.Miradi inayotekelezwa ni jengo la utawala lenye thamani ya Tshs. 50,000,000/=, Ujenzi wa madarasa mawili na ofisi yenye thamani ya Tshs. 40,000,000/= na umaliziaji wa vyumba viwili vya madarasa na ofisi moja yenye thamani ya Tshs. 50,000,000/=
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa