TASSAF yatoa Mafunzo wa wajumbe wa usimamizi wa shughuli za TASSAF.
Mafunzo hayo yamefanyika leo tarehe 3 Octoba 2022 katika Kijiji cha Samaka na Ihanja huku wakiwataka wajumbe kuzingatia majukumu yao ya Kusimamia shughuli zote zinazohusu TASSAF.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa