• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha
  • Takwimu za Wilaya
    • Sensa 2022
      • Matokeo ngazi ya Taifa na Mkoa
      • Matokeo ngazi ya wilaya na kata
      • Matokeo ngazi ya vijiji
      • Kasi ya ongezeko la watu
      • Idadi ya kaya
      • Idadi ya watu kwa umri
      • Matokeo ngazi ya tarafa
    • Takwimu za Elimu
      • Orodha ya Shule kwa kata
      • Idadi ya wanafunzi
        • Msingi
        • Sekondari
    • Nyanja ya Afya
      • Idadi ya vituo vya afya kwa kata
      • Afya nyinginezo
    • Ikungi yetu
    • Takwimu za miradi

Upandaji Miti na Msaada kwa Wagonjwa Vikundi Maalum Vifanyika Ikungi Kwa Ushirikiano na UWT

Posted on: February 3rd, 2026

Leo tarehe 03 Januari, 2025, Wakuu wa Divisheni na Vitengo pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi wameungana na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) katika kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii, zikiwemo zoezi la upandaji miti na kuwatembelea wagonjwa katika Hospitali ya Wilaya ya Ikungi.

Shughuli hizo zimefanyika ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya miaka 49 ya Chama cha Mapinduzi (CCM), yakilenga kuimarisha mshikamano wa kijamii na kuchochea uwajibikaji kwa jamii.

Katika tukio hilo, Umoja wa Wanawake Tanzania pia ulitoa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ikungi, ikiwa ni jitihada za kuwasaidia wasichana kuendelea na masomo yao bila vikwazo vinavyotokana na ukosefu wa mahitaji ya msingi.

Aidha, UWT ilitoa msaada wa mahitaji maalum yakiwemo madaftari, kalamu na sabuni kwa watoto wenye mahitaji maalum wanaosoma katika Shule ya Msingi Mchanganyiko Ikungi, ikiwa ni sehemu ya kuonesha upendo na mshikamano kwa makundi maalum katika jamii.


Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi imeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika utekelezaji wa shughuli za kijamii zenye lengo la kuboresha ustawi wa wananchi na kuimarisha

Matangazo

  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPT 06, 2023 August 31, 2023
  • View All

Habari mpya

  • Dkt. Grace Ntogwisangu Awataka Watoa Huduma Zaidi Kutumia Teknolojia Kuboresha Chanjo

    February 04, 2026
  • Mhe. Thomas Apson Awapongeza Wadau Kwa Kuunga Mkono Shule ya Watoto Wenye Mahitaji Maalum

    February 03, 2026
  • Upandaji Miti na Msaada kwa Wagonjwa Vikundi Maalum Vifanyika Ikungi Kwa Ushirikiano na UWT

    February 03, 2026
  • imu ya Menejimenti ya CMT Yakagua Miradi ya Afya, Elimu na Biashara Ikungi

    February 02, 2026
  • View All

Video

DC Muro atembelea Kata ya Mkiwa na kukagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Mkiwa. Kazi inaendelea...
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa