Waendeshaji wa mafunzo ya ukusanyaji wa mapato lindwa halmashauri ya wilaya ya Ikungi watoa mafunzo kwa wahudumu wa afya na kuwaelekeza mfumo mpya utakaotumika kukusanya mapato hayo...
Mafunzo hayo yamefanyika hii leo tarehe 20 Septemba,2022 katika ukumbi uliopo hospitali ya Wilaya ya Ikungi na kuwaomba kuzingatia mfumo huo mpya ili kuepusha upotevu wa mapato ya serikali...
Pia wameongeza na kusema kuwa kumekuwa na uelewa hafifu wa watoa huduma za afya juu ya umuhimu wa ukusanyaji wa mapato na kuwaomba kuzingatia maagizo wanayopewa na viongozi wao.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa