Kituo cha afya Ntuntu ujenzi unaendelea.Jengo la mama na Mtoto liko kwenye hatua ya nguzo linta,Jengo la kufulia liko kwenye hatua ya ukamilishaji na jengo la upasuaji liko kwenye hatua
ya upauzi.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa