Posted on: October 15th, 2023
Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan afungua kituo cha Polisi Ikungi na kuwapongeza watumishi kwa kusimamia mradi huo mpaka kukamilika kwake na mara baada ya ufunguzi huo amezungumza na wananchi wa Ikungi na b...
Posted on: October 13th, 2023
Afisa Elimu Sekondari Ndg Ngwano John Ngwano ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari mpya mradi wa Mpango wa kuboresha ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) unaojengwa kata ya ...
Posted on: October 13th, 2023
Afisa Elimu Msingi na Awali Bi Margaret Kapolesya ametembelea Shule mpya ya Msingi Ituru Mtavira kukagua maendeleo ya Shule hiyo na kuzungumza na wanafunzi.Kapolesya amezungumza na wanafunzi katika sh...