Posted on: September 9th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi imetenga takrini milioni 600 kwa ajili ya mikopo ya asilimia 10 za wanawake, vijana na walemavu ili kuwainua wananchi kiuchumi kupitia vikundi mbalimbali vifakavyokopes...
Posted on: August 28th, 2024
Afisa maendeleo ya jamii Bi Haika Massawe awataka maafisa maendeleo katika kila kata kutimiza majukumu yao kama walivyojaza kwenye barua zao za ajira ili kuhakilisha wananchi wanapata huduma zote zina...
Posted on: August 27th, 2024
Mratibu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Bi-Haika Massawe ahamasisha wananchi kujiandaa na zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kujisajili kwenye daftari ifikapo kipindi cha kujiandikisha Tarehe...