Posted on: November 8th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mkoa wa Singida ni moja ya Halmashauri zilizoibuka kidedea katika mashindano ya SHIMISEMITA 2022 kati ya Halmashauri 54 zilizoshiriki mashindano hayo yaliyofanyika Mkoa...
Posted on: November 6th, 2022
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ndg Justice Kijazi kwa niaba ya wafanyakazi wa Wilaya ya Ikungi pamoja na wananchi wa wilaya hiyo amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya vifo...
Posted on: November 2nd, 2022
Mkuu wa mkoa wa Singida Mhe Peter Serukamba amewataka viongozi wa kijiji cha choda kata ya choda wilaya ya Ikungi kumpa ushirikiano Mwenyekiti wa kijiji hicho na kuepukana na maslahi binafsi ambayo ya...