Posted on: November 16th, 2022
Hospitali ya Makiungu iliyopo wilaya ya Ikungi imefanyiwa ukaguzi na Timu ya CHMT ili kuwa hospitali ya rufaa ngazi ya Mkoa.
Katika kikao hicho tarehe 15 novemba 2022, DMO(District Medical Officer ...
Posted on: November 15th, 2022
Meneja wa Program kutoka KIWOHEDE amewasilisha taarifa ya utekelezaji akianisha shughuli zilizotekelezwa ambazo ni kuanzisha klabu mbili katika vijiji vya Irisya na Munyu ,kujenga kituo Jumuisho (OSC)...
Posted on: November 8th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mkoa wa Singida ni moja ya Halmashauri zilizoibuka kidedea katika mashindano ya SHIMISEMITA 2022 kati ya Halmashauri 54 zilizoshiriki mashindano hayo yaliyofanyika Mkoa...