Posted on: September 5th, 2022
Shule ya sekondari mossimatongo iliyopo kata ya Ikungi imeanza rasmi .Wanafunzi ni 128 .kidato cha kwanza ni 75 kidato cha tatu ni 53 na Walimu sita wamepangiwa katika shule hiyo.Lengo la shule ...
Posted on: September 3rd, 2022
Idara ya kilimo imeweza kutoa mafunzo ya mfumo wa Mbolea ya Ruzuku kwa kuwafundisha Maafisa ugani wote wapatao 36 na pia kwa sasa tumeshasajili wakulima 1,881 kwenye mfumo na ambao wameingia kwe...