Posted on: August 28th, 2022
Samaki wanaopatikana kwa wingi kwenye bonde letu la uwembele upande wa mgungira ,Samaki hawa wanauzwa kwa wingi singida ,Mbeya Dodoma, Morogoro,Kilimanjaro,Arusha na Daresalaam kwa wingi...
Posted on: August 28th, 2022
Tumeweza kufanikiwa kupata wakulima 79 ambao wako tayari kulima Tumbaku kata ya mtunduru na tumepata chanzo kipya cha mapato na zaidi ya ekari 200 zitalimwa kwa Mtunduru...
Posted on: August 27th, 2022
SENSA YA WATU NA MAKAZI -WILAYA IKUNGI YAFIKISHA ZAIDI YA ASILIMIA 85
Mkuu wa mkoa wa singida Mhe. Peter Serukamba ameridhishwa na jinsi wilaya ya Ikungi inayoendesha zoezi la sensa ya wa...