Posted on: June 30th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji Ndg Justice Lawrence Kijazi akisikiliza kero ya mwananchi kwa makini wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa Dkt Binilith S.Mahenge iliyofanyika Tarehe 30/06/2021...
Posted on: June 29th, 2022
Mkuu wa Wilaya Mh. Jerry Muro pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Justice Kijazi wakitembelea mradi wa zahanati ya Issuna. Kwapamoja wamemshukuru Mh Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea fedha za mira...
Posted on: June 23rd, 2022
Timu ya CMT wakiwa katika mgodi wa shanta mine ,Aidha kaimu meneja wa mgodi huo ,Ndugu Kundael Ntiro alifafanua kuwa Mgodi una sehemu tatu za machimbo ambazo ni Vivian,Jem na Goldtree.naye Mkurugenzi ...