Vikundi hivyo vimeanzishwa katika kijiji cha kimbumbuiko katika wilaya ya Ikungi kwa udhamini wa shirika la UNWOMEN.
Shirika hilo limeanzisha vikundi vinne,KITUPA,KIVIKI,UPENDO na JIMUDU,
Pichani ni wanakikundi wakiwa katika zoezi hilo la kusia nyanya kwenye kitalu maalum cha kusia nyanya wakishirikiana na wataalum katika zoezi hilo.
Zoezi hili la kusia nyanya ni awamu ya pili tangu mradi uanzishwe , Awamu ya kwanza wamevuna na hii ya pili zoezi hili limeanza ijumaa na kumalizika juma tatu tarehe 12/9/2022.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa