Halmashauri ya wilaya ya ikungi mkoani singida katika kipindi cha miaka nane mfululizo imekuwa ikipata hati safi ya ikaguzi wa hesabu kutokana na usimamizi makini na ushirikiano wa viongozi watendaji na wananchi katika halmashauri.
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo ,ndg Justice Kijazi alisema hayo jana katika kikao cha baraza la Madiwani cha kutoa taarfa mbalimbali ambacho pia kilihudhuliwa na Mkuu wa Mkoa wa singida ,Mh Peter Serukamba
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa