Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya leo Tarehe 04/06/2022 wametembelea na kukagua Mradi wa vyumba viwili vya madarasa katika Sekondari ya Issuna. Aidha Kamati hiyo imeridhishwa na ujenzi wa vyumba hivyo kwani thamani ya pesa imezingatiwa kulingana na ubora wa vyumba vya madarasa.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa