Vinara wa jinsia na Mabalozi wa ardhi wakiwa kwenye kikao cha UN-WOMEN kwa ajili ya kuona viashiria vya mradi,malengo ya mradi ,shughuli zilizotekelezwa , hatua ya mradi ,hatua za kuchukua ili kufikia malengo na changamoto zilizojitokeza.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa