Afua ya Nyongeza ya Madini Joto kwenye Chumvi yazidi kutekelezwa IkungiTimu ya wataalamu wa Afya imetembelea vijiji vya Kikio na Mnane kwa ajili ya kuwafundisha wazalishaji wadogo wa chumvi jinsi ya kuongeza madini kwenye chumvi wanayozalisha.Kutokana na umuhimu wa madini joto mwilini, Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji imenunua na kugawa bure madini joto kwa wachimbaji hao. Miongoni mwa faida hizo ni pamoja na kuzuia uvimbe wa tezi ya shingo (Goita) hali itokanayo na ukosefu wa madini joto mwilini.Afisa Afya kwa kushirikiana na Ma Afisa Lishe walifundisha kwa vitendo na kuwakabidhi madini joto wachimbaji hao.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa