• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha
  • Takwimu za Wilaya
    • Sensa 2022
      • Matokeo ngazi ya Taifa na Mkoa
      • Matokeo ngazi ya wilaya na kata
      • Matokeo ngazi ya vijiji
      • Kasi ya ongezeko la watu
      • Idadi ya kaya
      • Idadi ya watu kwa umri
      • Matokeo ngazi ya tarafa
    • Takwimu za Elimu
      • Orodha ya Shule kwa kata
      • Idadi ya wanafunzi
        • Msingi
        • Sekondari
    • Nyanja ya Afya
      • Idadi ya vituo vya afya kwa kata
      • Afya nyinginezo
    • Ikungi yetu
    • Takwimu za miradi

MJUE KAKAKUONA WA NKUNDI- IKUNGI

Posted on: September 21st, 2018

Mnamo tarehe17/09/2018 katika kijiji cha Nkundi kata ya Kikio ndugu Emanuel Mumbi  ambaye ni mchungaji wa kanisa, Anamsimulia mwandishi wa habari hii jinsi alivyopata ugeni wa kushtukiza ndani ya nyumba yake.

" Mnamo majira ya saa 3 usiku nilishtushwa na kelele nyingi za mbwa wangu kiasi kwamba nikahisi huenda fisi wameingia kwenye zizi langu, Cha kustaabisha nilikutana na kiumbe cha ajabu kilichojiviringisha mithili ya mpira’’. Alisema Mumbi.

 Baada ya kumuona kakakuona huyu niliamua kumchukua na kumuhifadhi ndania na kumpatia chakula pamoja na maji kwani nilipata habari kwamba mnyama huyu huleta Baraka hivyo anatakiwa kukarimiwa . Aliendelea kusema,

 Niliamua kuwasiliana na viongozi wa serikali ya kijiji na kupeleka taarika kwa mkuu wa wilaya ili waweze kuja kumchukua mnyama huyu kwa kujua ni kosa kisheria kukaa na nyara za serikali.

.

KAKAKUONA ALIYEONEKA NKUNDI

INASEMEKANA  UKIMSHIKA  MGONGONI BASI UTAPATA BAHATI AMA MAMBO YAKO YATAENDA VIZURI.

Pichani Mh. Diwani  wa kata ya Kikio ndugu. Stepheni Sinda mwenye nyekundu, mtendaji wa kata ndugu Frank Itambu mwenye kofia na  Afisa TEHAMA wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ndugu Amour Eljabry wakijaribu bahati yao kwakumshika mgongo.

 

Ndugu  Emanuel Tiotimi akiwa katika picha na kakakuona muda mchache kabla ya kumkabidhi kwa Afisa wanyama pori.KAKA KUONA NI NANI?

Kwa mujibu wa ndugu Lorry, Afisa wanyama pori wa Halmashauri ya wilaya aliyeenda kumchukua kakakuona huyo anatoa sifa zifuatazo za mnyama huyu kifupi.

 

SIFA ZA KAKAKAUONA

1.ULIMI MREFU KULIKO MWILI WAKE.

- Kakakuona ana ulimi wenye urefu unaozidi mwili wake.
- Akiurefusha kwa kuutoa nje ya kinywa unafikia urefu wa sentimita 40.
- Ulimi huo ambao pia unanata, huutumia kwa ajili ya kukusanya wadudu ambao ndiyo mlo wake wa pekee, hana mwingine zaidi ya huo kutokana na kukosa meno.

2. NDIYE MNYAMA PEKEE DUNIANI AMBAYE MWILI WAKE UMEFUNIKWA NA MAGAMBA MAKUBWA.

3. HUISHI JUU YA MITI NA KWENYE MASHIMO.
- Baadhi ya kakakuona huishi juu ya miti, wengine hujichimbia ardhini na kuishi ndani ya mashimo.
- Wengi wanaoishi juu ya miti ni wale wenye mikia mirefu wanaopatikana barani Afrika.
- Wengine huchimba mashimo marefu ardhini na kuishi humo ili wasikutane na binadamu.

 4.HAKUNA ANAYEFAHAMU MIAKA ANAYOISHI.


- Inakadiriwa kuwa mnyama huyo huishi kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika pori.
- Lakini hiyo ilikuwa inafahamika zamani kipindi ambacho mnyama huyo alikuwa anaonekana tofauti na sasa.
5. HAWAONI VIZURI.
- Ni aina moja wapo ya kakakuona wenye uwezo wa kuona vizuri hasa muda wa mchana. Hawa ni wale wanaopatikana barani Afrika.

- Wengine hawana uwezo wa kuona vizuri kutokana na kuwa na macho madogo.

6. WANA UWEZO MKUBWA WA KUNUSA NA KUSIKIA.
Licha ya wengine kuwa na macho madogo na kushindwa kuona vizuri, kakakuona ni mnyama mwenye uwezo mkubwa wa kusikia sauti yoyote kwa haraka kwa sababu masikio yake yameinuka. Pia, ana uwezo mkubwa wa kunusa harufu yoyote.


Matangazo

  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPT 06, 2023 August 31, 2023
  • View All

Habari mpya

  • Elimu ya Kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yahitajika Ikungi

    April 17, 2025
  • Kamati ya Siasa Yapongeza Ujenzi wa Miradi Ikungi

    April 09, 2025
  • "Wanaume Hudumieni Wake Zenu" DC Apson Ikungi

    March 04, 2025
  • NEST yarahisisha manunuzi

    March 04, 2025
  • View All

Video

DC Muro atembelea Kata ya Mkiwa na kukagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Mkiwa. Kazi inaendelea...
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa