Shanta Gold Mining Co.Ltd yatekeleza mpango wa Programu ya uwajibikaji kwa jamii (CSR) kwa ununuzi wa Trekta na tela vyenye thamani ya shilingi 85,000,000/= kama yalivyo makubaliano baina yao na ofisi ya mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Ikungi.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo Tarehe 8/2/2025. Baina ya ndugu Elisante Kamuya akimwakililisha meneja mkuu wa kampuni ya Shanta gold Mining ndugu Juma Kisunda
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa