Mganga Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Dkt Dorisila John akiongozana na viongozi wa kata na vijiji wafungua Zahanati ya Utaho tayari kwa kuanza kufanya kazi ili kuwahudumia wananchi wa kata ya Kituntu waliokuwa wakienda umbali mrefu kutafta huduma za afya hii leo tarehe 20 Mei, 2024
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa