Afisa kilimo,Mifugo na uvuvi Ndg Violeth kidulani ametolea maelezo taarifa ya idara hiyo kuwa kuna shughuli zinafanyika za kusajili wakulima kwenye mfumo wa M-kilimo,kusajili wanufaika wa mbolea za ruzuku zitakazo tolewa na Serikali,kutoa mafunzo ya kilimo bora na usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli zote za kilimo na ufugaji.
katika kamati hiyo Idara ya Ujenzi immendeklea kuratibu ,kufuatilia ,kukagua na kusimamia miradi ya ujenzi ya Elimu sekondari Msingi na Afya kwa kufUata sheria kanuni na Taratibu za ujenzi
Idara nyingine zilizo shiriki kwenye kamati hiyo ni viwanda,biashara na uwekezaji na kitengo cha uthibiti taka na usafi.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa