Afisa Maendeleo ya jamii Ndg Haika Massawe kulia picha ya pili kutoka kushoto wametembele mradi wa kikundi cha unyaghumpi kilichopo kata ya Muunga katika kijiji cha Unyaghumpi.
Kikundi hicho kimepata mkopo wa Tsh 20,000,000 kutoka kwenye mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halmashauri ya wilaya ya Ikungi katika robo ya pili 2022/2023.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa