''Kutokana na Wilaya yetu kuwa ya kwanza kwa ukusanyaji wa mapato sina budi kutoa zawadi kwa watendaji wa kata zilizoongoza kwa ukusanyaji na kwa kufikia malengo" Maneno hayo yamesemwa na mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mh. Alliy Mwanga katika baraza la madiwani lililofanyika leo tarehe 19/08/2021.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa