• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha
  • Takwimu za Wilaya
    • Sensa 2022
      • Matokeo ngazi ya Taifa na Mkoa
      • Matokeo ngazi ya wilaya na kata
      • Matokeo ngazi ya vijiji
      • Kasi ya ongezeko la watu
      • Idadi ya kaya
      • Idadi ya watu kwa umri
      • Matokeo ngazi ya tarafa
    • Takwimu za Elimu
      • Orodha ya Shule kwa kata
      • Idadi ya wanafunzi
        • Msingi
        • Sekondari
    • Nyanja ya Afya
      • Idadi ya vituo vya afya kwa kata
      • Afya nyinginezo
    • Ikungi yetu
    • Takwimu za miradi

Yaliyojiri Maadhimisho ya Siku ya Mwanamke wa kijijini-Ikungi

Posted on: October 16th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Halima Dendego amewaomba wanawake kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa ajili ya  uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 na kugombea nafasi za uongozi ili wanawake kuwa na nafasi  ya kutoa maamuzi pale yanapojadikiwa mswala mbalimbali ya maendeleo.

Hayo yamesemwa hii leo tarehe 16 Octoba, 2024 katika maadhimisho ya kimataifa ya mwanamke wa kijijini yalioanzishwa kwa mara ya kwanza na baraza kuu la umoja wa mataifa mwaka 2007 kupitia azimio maalumu la kutambua jukumu na mchango wa wanawake wa Vijijini katika kuimarisha maendeleo ya Kilimo maendeleo ya vijiji kuboresha usalama wa chakula na kutokomeza umasikini ambayo yemefanyika ukumbi wa shule ya sekondari Ikungi.

 Mkuu wa Mkoa amesema kuwa nafasi hizi za uongozi zimewekwa ili wanawake wapaze sauti katika yale ambayo yamekuwa ni kero na yanakwamisha maendeleo ya wanawake kiuchumi na nyanja zingine zote. "Singida hususani Wilaya ya Ikungi tumeshaanza kuzikataa changamoto za wanawake tunasema tutakapolima tupewe nafasi ya maamuzi kipi kiuzwe na kipi kibaki kwa ajili ya chakula" amesema mkuu wa Mkoa Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Thomas Apson ameongeza na kusema kuwa ipo haja pia wanawake kuwaheshimu waume zao ili kuondokana na migogoro ya mara kwa mara inayojitokeza na kupeleke mifarakano katika familia. 

"Nimejifunza hilo kwenye mikutano yangu ya kusikiliza kero za wananchi inapofika saa 12 wanawake wanawahi nyumbani kuwapikia waume zao huu ni Utamaduni mzuri tusiige tamaduni mbaya" ameongeza Mkuu wa Wilaya.

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ndg. Richard Rwehumbiza akisoma taarifa mbele ya Mgeni Rasmi kuwa maadhimisho haya hufanyika kila mwaka ili kuelimisha jamii kuhusu jitihada mbali mbali zinazofanyika na serikali na asasi mbalimbali kukuza uchumi na mshikamano wa wanawake nchini na duniani kote. Naye Afisa Maendeleo ya jamii Bi Haika Massawe mara baada ya maada mbalimbali kujadiliwa juu ya mwanamke wa kijijini ametaja baadhi ya maazimio ambayo kwa kushirikiana na wanawake wa Wilaya ya Ikungi yatatekelezwa kubwa ikiwa ni pamoja na utoaji kwa wakati mikopo ya asilimia 10 za halmashauri.

Matangazo

  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPT 06, 2023 August 31, 2023
  • View All

Habari mpya

  • Mafunzo ya BVR Awamu ya Pili yazinduliwa

    May 14, 2025
  • Msigala Aagiza kutungwa kwa Sheria Ndogo Kudhibiti chumvi

    May 09, 2025
  • Ikungi Kinara wa Miradi Bora

    May 08, 2025
  • Elimu ya Kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yahitajika Ikungi

    April 17, 2025
  • View All

Video

DC Muro atembelea Kata ya Mkiwa na kukagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Mkiwa. Kazi inaendelea...
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa