Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi wanne (4) wa nafasi ya Utendaji wa Kijiji daraja la III na Katibu Mahsusi daraja la III ambao wametajwa majina yao katika tangazo hili wafahamu kuwa walifaulu usaili. Hivyo kufuatia kufaulu kwao usaili wanaaarifiwa kuripoti Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi ndani ya siku saba (7) kuanzia tarehe ya barua hii ili kukamilisha taratibu za ajira zao.
Waombaji kazi waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti kwa mwajiri katika muda ambao umeainishwa hapo juu wakiwa na vyeti halisi (Original Certificate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
waliofaulu usaili na kufanikiwa kupata kazi ni :
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa