Maafisa lishe halmashauri ya wilaya ya Ikungi Agnes John pamoja na Nevu Dickson Mwakatema wahamasisha matumizi ya chumvi yenye madini joto kwa wazalishaji.
Akizungumza leo tarehe 23 Septemba,2022 mara baada ya kuwatembea wazalishaji wahamasishaji wamesema kuwa wachimbaji wanapaswa kutia chumvi madini joto ( iodine) kwa kufanya chumvi kuwa bora zaidi.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa