Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ndg Justice Kijazi kwa niaba ya wafanyakazi wa Wilaya ya Ikungi pamoja na wananchi wa wilaya hiyo amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya vifo vilivyotokana na ajali ya ndege Bukoba...
Ajali hiyo imetokea tarehe 6,Novemba 2022 katika ziwa victoria na mashuhuda wakisema kuwa walipata ajali baada ya rubani kukiri kuwa hali ya hewa haikuwa sawa jambo lililopelekea kukosa mwelekeo na kujikuta ikidondokea ziwani....
Ndege ilikua na abiria 43,waliofariki katika ajali hiyo ni 19.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa