• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha
  • Takwimu za Wilaya
    • Sensa 2022
      • Matokeo ngazi ya Taifa na Mkoa
      • Matokeo ngazi ya wilaya na kata
      • Matokeo ngazi ya vijiji
      • Kasi ya ongezeko la watu
      • Idadi ya kaya
      • Idadi ya watu kwa umri
      • Matokeo ngazi ya tarafa
    • Takwimu za Elimu
      • Orodha ya Shule kwa kata
      • Idadi ya wanafunzi
        • Msingi
        • Sekondari
    • Nyanja ya Afya
      • Idadi ya vituo vya afya kwa kata
      • Afya nyinginezo
    • Ikungi yetu
    • Takwimu za miradi

Dkt. Nchimbi aongoza kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Ikungi

Posted on: July 2nd, 2018

Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida.


Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi ameongoza mkutano maalum wa Baraza la waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Ikungi, kujadili majibu ya hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2018.

Akizungumza wakati wa mkutano huo Dkt. Nchimbi ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Ikungi kwa kuwa na Hati Safi na kuwataka watumishi, watendaji pamoja na wataalamu kuendelea kuwatumikia kikamilifu wananchi wao vijijini.

"Hati safi inamaana kwamba, sio tuu taarifa za kwenye makaratasi bali tafsiri yake kubwa ni udhihirisho wa hali halisi kwa yale yanayotekelezwa na halmashauri na ambayo yatadhihirika katika mabadiriko chanya ya maisha ya wananchi" Alisema Dkt Nchimbi 

Aidha, Dkt. Nchimbi amewataka watumishi, watendaji, pamoja  na wataalamu kusimamia kila jambo linalohusu maendeleo ya wananchi wa halmashauri ya Ikungi bila kuangalia itikadi za vyama pamoja na kulinda misitu na kuwasihi waheshimiwa Madiwani kusimamia kwa nguvu zote uharibifu wa mazingira unaotokana na ukataji wa miti ovyo unaofanywa kwa ajili ya matumizi ya nishati ya kuni na mkaa.

"Niwaombe, mlinde misitu, msifanye mdhaa wowote na ulinzi wa misitu yetu. Niwaombe waheshimiwa Madiwani tudhibiti sana uchomaji wa mkaa" Dkt. Nchimbi 

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ikungi Mhe. Rustika Turuka akitambulisha uongozi mbalimbali uliohudhuria kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida.

Sehemu ya waheshimiwa Madiwani 
Katibu Tawala Masaidizi Serikali za Mitaa Mwajabu Nyamkomola akizungumza wakati wa utambulisho katika kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida. Sehemu ya wataalamu, watendaji na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Ikungi wakifuatilia kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida.

Mwenyekiti wa halmashauri ya Ikungi Mhe. Ally Mwanga akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida.

Mweka hazina Bw. Revocatus Mohabe akisoma agenda za kikao wakati wa  kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida.

Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Miraji J. Mtaturuakizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida.
 

 


Katibu Tawala wa mkoa wa Singida Dkt. Angelina Lutambi akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Ikungi mkoani Singida.
 


Matangazo

  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPT 06, 2023 August 31, 2023
  • View All

Habari mpya

  • Elimu ya Kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yahitajika Ikungi

    April 17, 2025
  • Kamati ya Siasa Yapongeza Ujenzi wa Miradi Ikungi

    April 09, 2025
  • "Wanaume Hudumieni Wake Zenu" DC Apson Ikungi

    March 04, 2025
  • NEST yarahisisha manunuzi

    March 04, 2025
  • View All

Video

DC Muro atembelea Kata ya Mkiwa na kukagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Mkiwa. Kazi inaendelea...
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa