Hospitali ya Makiungu iliyopo wilaya ya Ikungi imefanyiwa ukaguzi na Timu ya CHMT ili kuwa hospitali ya rufaa ngazi ya Mkoa.
Katika kikao hicho tarehe 15 novemba 2022, DMO(District Medical Officer ) amesema kuwa hapo awali hospitali ya Makiungu ilikuwa hospitali ya wilaya lakini kwa sasa wamefanya ukaguzi ili kuifanya iwe hospitali ya Mkoa kwa kuwa wilaya ya Ikungi kwa sasa imepata Hospitali ya Wilaya .
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa