Halmashauri ya wilaya ya Ikungi imetembelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Msalala Ndg Charles Edward Fussi pamoja na wakuu wa idara wa wilaya hiyo.
Msafara huo umeratibiwa na DAICO wakiambatana na UNWOMEN katika kuhakikisha kuwa wakuu hao
wamepata mafunzo ya kilimo ,umirikishaji wa ardhi na utoaji wa hati pamoja na mambo ya maendeleo ya jamii kwa ajili ya kufanya vema katika wilaya yao mpya mkoani Shinyanga tarehe 21 novemba 2022.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa