Kamati ya Huduma za Jamii yaipongeza Idara ya Afya kwa Ukusanyaji wa Jumla ya Bilioni 5.5, sawa na Asilimia 79 ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2023/2024
Hayo yamesemwa hii leo, tarehe 11 Februari, 2025, katika kikao hicho ambapo makisio ya bajeti hiyo yalikuwa ni takribani Bilioni 7. Hivyo, kutimiza Bilioni 5.5 ni jambo linalostahili pongezi.
Kamati imeshauri kubuni vyanzo vipya vya mapato na kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato ili kukuza uchumi wa Halmashauri ya Ikungi
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa