Mkuu wa wilaya ya Ikungi Jerry C. Muro ameendelea na ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa kwa shule za sekondari na shule shikizi za msingi katika jimbo la singida mashariki
Dc Muro ametembelea kata ya Mkiwa akiwa na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Ikungi Mhe Petro ambae pia ni diwani wa mkiwa ambapo ameridhishwa na ubora wa mradinwa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa pamoja na ofisi ya walimu
Habari picha
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa