Miradi ya Maendeleo ya fedha za mapambano dhidi ya UVIKO- 19 ikiendelea kutekelezwa kwa kasi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida alisisitiza kuwa kasi iongezeke ili ifikapo Januari wanafunzi wote waweze kutumia vyumba vya madarasa ili kupunguza msongamano wa wanafunzi.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa