Idara ya kilimo imeweza kutoa mafunzo ya mfumo wa Mbolea ya Ruzuku kwa kuwafundisha Maafisa ugani wote wapatao 36 na pia kwa sasa tumeshasajili wakulima 1,881 kwenye mfumo na ambao wameingia kwenye daftari ni wakulima 3783 na zoezi la usajili bado linaendelea
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa