FURSA ya Utalii Msule
chemchem ya maji moto katika kijiji cha Msule yapata Mwekezaji atakayekeza katika kukiboresha na kukitangaza kivutio hicho cha kipekee cha utalii kwa kuzalisha umeme wa geothermal!
moja ya sifa za kivutio hicho ni kutoa chemchem ya maji moto yanayotokota.
Karibu Ikungi ufurahie vivutio vya utalii.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa