• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Ikungi District Council
Ikungi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Elimu msingi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ujenzi
      • Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Tekolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Biashara
    • Madini
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Mipango na Utawala
      • Elimu, Afya na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbailmbali
    • Fomu Malimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Vituo vya habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya picha
  • Takwimu za Wilaya
    • Sensa 2022
      • Matokeo ngazi ya Taifa na Mkoa
      • Matokeo ngazi ya wilaya na kata
      • Matokeo ngazi ya vijiji
      • Kasi ya ongezeko la watu
      • Idadi ya kaya
      • Idadi ya watu kwa umri
      • Matokeo ngazi ya tarafa
    • Takwimu za Elimu
      • Orodha ya Shule kwa kata
      • Idadi ya wanafunzi
        • Msingi
        • Sekondari
    • Nyanja ya Afya
      • Idadi ya vituo vya afya kwa kata
      • Afya nyinginezo
    • Ikungi yetu
    • Takwimu za miradi

Kuna Viashiria Vingi vya Ukatili wa Kijinsia

Posted on: November 30th, 2023

Kwa mujibu wa Hotuba ya Mwenyekiti wa kamati ya Usalama Wilaya ya Ikungi Mhe Thomas Apson Tarehe 30 Novemba 2023 katika Kongamano la kujadili na  kupinga ukatili katika jamii alisema kuna viashiria vingi vya ukatili wa kijinsia wilayani hapa hali inayopelekea watu Kujinyonga,Ndoa kuvunjika,Kuongezeka kwa migogoro kwenye jamii na wengine kushindwa kuendelea na masomo yao kutokana na ukatili mbalimbali wanaofanyiwa.Katika Kongamano hilo washiriki waliazimia  mambo mbalimbali yatakayosaidia kumaliza swala la ukatili Wilaya ya Ikungi na nchini kwa ujumla ikiwa ni pamoja na Kutolewa kwa Elimu ngazi zote,Jamii itoe taarifa za ukatili ili serikali Kuchukua hatua za kisheria kwa wanaosababisha ukatili,Kufanyika kwa makongamano ya mara kwa mara kujadili hali ya ukatili katika jamii,Serikali kutenga maeneo ya biashara kwa walemavu ili kuepukana na maswala ya Ukatili na Mengineyo."Hatua mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa juu ya changamoto hiyo, kubwa ikiwa ni pamoja na elimu kutolewa ngazi zote kuanzia Wilaya mpaka ngazi za vijiji na vitongoji ili kupunguza ukatuli kama sio kumaliza kabisa tatizo hilo" Alisema Mkuu wa Wilaya ya IkungiTarehe 21 Agosti 2023 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi ilipokea mradi wa pamoja wa kuongeza kasi ya uwezeshaji wa Wanawake wa kijijini kiuchumi unaotekelezwa katika kata tano ikiwa ni pamoja na Kata ya Ikungi,kata ya Dung'unyi na kata ya Puma,Kata ya Irisya na Sepuka unatekelezwa kwa ushirikiano kati ya WFP,IFAD,FAO na UNwomen kwa ufadhili wa serikali ya Norway na SweedenAfisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Bi Haika Massawe amesema kuwa kwa Tanzania mradi huu unatekelezwa Wilaya tatu pekee ikiwa ni pamoja na Wilaya ya Ikungi.Nnamo Tarehe 24 Agosti 2023 Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ndg Justice Kijazi Alifungua mafunzo ya mradi huo Wilayani Ikungi yaliyotolewa na Kampuni ya KIVULINI na kusema kuwa mafunzo hayo ni muhimu kwa wanamabadikiko kwani yatasaidia  mradi huo kufanyika kwa ufanisi na juhudi kubwa lengo kuu ikiwa ni pamoja na kubadili fikra za jamii nzima kuwa na mtazamo chaya.Afisa maendeleo aliongeza na kusema lengo lingine pia ni kutokomeza mimba za utotoni,Ndoa za utotoni.

Matangazo

  • MPYA! MPYA! MPYA! TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SEPT 06, 2023 August 31, 2023
  • View All

Habari mpya

  • Elimu ya Kujikinga na Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yahitajika Ikungi

    April 17, 2025
  • Kamati ya Siasa Yapongeza Ujenzi wa Miradi Ikungi

    April 09, 2025
  • "Wanaume Hudumieni Wake Zenu" DC Apson Ikungi

    March 04, 2025
  • NEST yarahisisha manunuzi

    March 04, 2025
  • View All

Video

DC Muro atembelea Kata ya Mkiwa na kukagua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari Mkiwa. Kazi inaendelea...
More Videos

Viunganishi vya haraka

Tovuti unganifu

  • EGA website
  • public service management
  • TAMISEMI website
  • Watumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi

    Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania

    Simu ya mezani: +255262964037/6

    Mobile:

    Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa