Mkuu wa Wilaya Mh. Jerry Muro pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Justice Kijazi wakitembelea mradi wa zahanati ya Issuna. Kwapamoja wamemshukuru Mh Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea fedha za miradi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa