Mkuu wa Wilaya Ndg Jerry Muro amesisitiza Madaktari kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa kuwa makini, kuwapa huduma kwa wakati na kujenge mahusiano mazuri kuanzia ngazi ya vijiji .
Akifungua mafunzo hayo tarehe 21 octoba 2022,katika ukumbi wa Halmashauri,Muro alisema kuwa yupo tayari kutoa motisha kwa Madaktari watakao jitoa kikamilifu kuwahudumia wananchi kijijini na mjini.
Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi
Anuani ya Posta: S.L.P 42, Singida, Tanzania
Simu ya mezani: +255262964037/6
Mobile:
Barua pepe: ded.ikungidc@singida.go.tz
Hakimiliki @2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi. Haki zote zimehifadhiwa